si wataka kujua here i am. Bishanga mimi ni miongoni mwa wanawake wachache sana wanaopenda na wanaojua kufanya mchezo wa matusi. Ila tu ni mwanamke ambaye huwa nafanya na mtu aliye ujaza moyo wangu na ambaye aweza kunipa raha niitakayo wakati wa kucheza. so shombo la nje siliwezi mimi. .........siwez kuingia rum na mtu for an hour damn shit!.............. manake hutonitoa kiu so bora kipapa nimrudishie mwenye nacho bro.
niko radhi hata kuhonga kwa aujazaye moyo wangu ili tu tucheze kama siku hiyo hajiskii. Nikuulize swali ulishawah hongwa na mkeo weye ili mcheze since you married? But mm huwa nahonga labda kila siku ili tu nipigwe mpera.Nasiongelei eti kwasababu hakuna anijuaye bali ni ukweli na mwenyewe aweza thibitisha. so ma brother ukipata mke kama mimi utakonda aisee.
PM copy to bishanga pliiiiiizzzzz...
bishanga mchana nikishaanza kupokea vi meseji vya ' mme wangu leo wahi kurudi' nikifika nikakuta msosi niupendao unanisubiri mezani na pembeni kachupa ka dodoma presidential wine,nikiingia chumbani nikasikia harufu ya waridi...najua yes leo mama kayai anataka mechi......sasa kuhongwa tena basi labda huku ndo kuhongwa,,we watoa mihela kabisa?
Mkuu Ukitaka kuelewa haya maswala inabidi urudi sana nyuma kihistoria kaka mkubwa!
Kwa sababu hii ni side effect ya ule mfumo wetu asisi (Its 'mfumo dume on backfire').
Mfumo Dume kama unavyoujua unahitaji wanawake wawe ma majukumu fulani ambayo unayajua...sasa Kuwa na uwezo kifedha, kiupeo, kiuongozi na kijamii kumzidi mwanamke ni sifa ya mume. Kwenye hii system lazima mwanamke ataridhia maombi ya aliyemzidi vitu vyote hivyo! Ndo maana haikushangazi ndoa nyingi wanawake ni wadogo kiumri kwa ulinganisho na waume zao (Hii ni kuwapa muda wanaume waweze kutangulia)...
Halafu mkuu kwani unashindwa kujiendeleza kielimu...Trust me ukiangalia vizuri walioishia darasa la saba wamependa
(Utasema wazazi hawakuwa na uwezo, kwani si umekua na kufanya kibarua? mitihani ya qt bei rahisi sana tu).
Now, kama umependa kuishia darasa la saba, kuna dhambi gani mwanamke akataka aliyeishia sekondari?
U have said it all dearUkweli ni kwamba, wanawake wengi mimi included tunataka mwanaume ambaye anakupenda na he can take care of you, financially na kimawazo na kimtazamo; hivyo basi tungeprefer au tunadream kuwa awe na uwezo kukuzidi (kama wewe unao any), elimu/uelewa wa mambo kukuzidi n preferable hata akuzidi walau miaka 2.
Ukipata unaye mzidi hivyo vyote juu, hata kama unanpenda kiasi gani, kama uelewa wake mdogo ndoa huwa na shida sana. Nami nimeshashuhudia my friends ambao ndoa zimevunjika coz mwanaume hajiamini na kuamua kuwa physical just to prove yeye ndie man of the house.
I was in a sort of the same relationship, sikumzidi pesa, but elimu na mafanikio; siwezi rudia bora niwe peke yangu aisee!
Sikatai, kuna baadhi yetu tunakuwa na nyodo lkn ni wachache sana kuliko wanaume mnavyopenda kujiaminisha ktk story zenu kiasi kwamba mnaanza kujihami kwa ubabe usio na kichwa wala miguu.
Kuhitimisha nasema, wanawake hatupendi kudanganywa but tunahitaji mwanaume tunayeweza mtegemea!
Eiyer kwanza muamini MUNGU kuwa mwenza wako yupo mahala na kwa imani atatenda, pili na hii ni kubwa kwa mtazamo wangu shughulikia bikira yako itoke uwe expert at least! then jiendeleze kimasomo, its not too late, and it will never b late if u have a vision! third jitahidi kuwa CONFIDENT kwa yeyote utakayempata, usimuonyeshe kuwa despite the fact hujasoma, but still u can lead and secure her! ol the best, and utafanikiwa tu!
Mi sitandadi seven shauri yako!
si wataka kujua here i am. Bishanga mimi ni miongoni mwa wanawake wachache sana wanaopenda na wanaojua kufanya mchezo wa matusi. Ila tu ni mwanamke ambaye huwa nafanya na mtu aliye ujaza moyo wangu na ambaye aweza kunipa raha niitakayo wakati wa kucheza. so shombo la nje siliwezi mimi. .........siwez kuingia rum na mtu for an hour damn shit!.............. manake hutonitoa kiu so bora kipapa nimrudishie mwenye nacho bro.
niko radhi hata kuhonga kwa aujazaye moyo wangu ili tu tucheze kama siku hiyo hajiskii. Nikuulize swali ulishawah hongwa na mkeo weye ili mcheze since you married? But mm huwa nahonga labda kila siku ili tu nipigwe mpera.Nasiongelei eti kwasababu hakuna anijuaye bali ni ukweli na mwenyewe aweza thibitisha. so ma brother ukipata mke kama mimi utakonda aisee.
Eiyer wala hayo hayatoshi labda rudi nenda kasome ilipouliza nini raha ya ndoa nafikir utapata majibu mazuri sana. so ni package ya vitu vngi sana.abda nikuulize Eiyer kuna umuhimu gani kuoa mtu anayejua kufanya matusi halafu hana nidhamu wala upendo wa kweli? si kweli kwamba matus peke yake ndiyo yanayojenga nyumba ni zaid ya hapo n yote waweza yatengeneza bali tabia ya mtu ni ngumu sana. Na mimi nakuuliza swali hilohilo,wewe unadhani elimu na pesa inatosha?