Wanawake wanataka wenye...

Unakumbuka mambo ya wabibi na wababu, leo? karne hii?
You can't compare walivyoishi bibi na babu zetu enzi zile na leo, mwanaume huwezi kuepuka majukumu kwa mwanamke wako labda kama humpendi na isitoshe wanawake wanamahitaji mengi compare na wanaume. Mwanaume uko kwenye mahusiano na mdada hata kumnunulia pedi huwezi lol...!

Hivi umewahi kujiuliza babu yako na bibi yako waliimarishaje penzi mpaka leo wapo pamoja?
 
kazi kweli kweli ni mewasoma dada zangu na majibu safi na ushauri uliotukuka
 

Kaunga umeolewa au una boyfriend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…