Wanawake wanataka hiki kwa mwanaume

Namba 2 kwenye mfano wa shanga limetokea kweli MTAANI KWAKO?Maana hyo stori si ya leo wala jana
 
Mwanaume kufatwa na mademu wengi ni hulka yake(kismati).
Kama huna hiyo kitu acha kupoteza muda wako.

Kila mtu anakitu alichojaliwa. Wapo wengine wakipanda maua au miti nyumbani hukubali wakati wengine hukataa.

Hata shuleni vipo vichwa vya shule.

Kwa hiyo usilazimishe mambo.


Wenzako mademu tunawakimbia kumbe wengine wanawatafuta. Duu!
 
Ha ha ha a
Khaaaaa
Ati unisimulie stori za wanawake uliowagegeda
uje unionyeshe mapicha yenu
He he he e
Acha kupotosha wenzio!
Utoto uliotukuka
 
Ha ha ha a
Khaaaaa
Ati unisimulie stori za wanawake uliowagegeda
uje unionyeshe mapicha yenu
He he he e
Acha kupotosha wenzio!
Utoto uliotukuka
Inatokea unconscious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…