Wanawake wanashindwa kuniamini

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
564
Reaction score
868
Wana jamvi,

Kuna jambo linasumbua, washikaji zangu wananichukulia mimi ni mpenda wasichana sana, kiasi cha kwamba wanawake wengi nikiwatongoza wanakataa kwa kuniambia nina wapenzi wengi ni tofauti na mimi nilivyo hili jambo lina nifanya nijishtukie ni nini haswa kinachofanya nisiaminike? Na nisha temana/achana na msichana wangu kwasababu hizo za kutoniamini.

Karibuni
 
unahis kwann wanakuchukulia unapenda sana mademu? tuanzie hapo....
 
Inawezekana una marafiki wengi sana wa kike au unapenda kuwaelezea wanawake yaniiii unajifanya unawafahamu Sana wanawake na unapenda kuwaongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…