Wanawake wanapenda makofi usiwanyime

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,367
Reaction score
55,054
Kwa takribani Muda kadhaa nimekuwa nikifanya kauchunguzi fulani hivi na kidogo ninaanza kupata majibu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na baadhi ya wanawake ila wengi licha ya kupendana nao ila niligindua wanapenda pia wanaume wanaowapiga piga makofi ili kuwastua na kuwaboost akili pale wanapokuwa wako kinyume.

Sio jambo jema kuwakata makofi ila huwa inaongeza sana heshima kwenye mahusiano tena baadhi yao ukitaka kuwakata makofi utasikia "Weee umpige nani? Mara ya mwisho nimepigwa na baba yangu weee niguse uone" nilikuwa nikisikia haya maneno napata hasira na kutoa makofi ili aone kuwa mwanaume yeyote yule ukiacha baba yako anaweza kukulamba makofi na ukawa mdogo.

Matokeo: Baada ya makofi hayo nilipendwa maradufu sana na hata tuliachana huwa wanarudi kunipa nafasi ya kuwafunua tena ila wamebadilika sana na wanapenda makofi.

Ukiachilia mbali ule msemo wa mwanaume mashine mimi kipaumbele changu ni "mwanaume makofi".
 
Asee
 
Uko sahihi mkuu....hawa viumbe saa nyingine akili yao inakuwa na chenga chenga.
Makofi ni njia rahisi ya kusafisha hizo chenga..
Piga makofi tu
Hawa viumbe usipowagusa wanakudharau sana hata kama una pesa, mimi kiukweli nawapa makofi na kweli siwanyimi.
 
Hivi mwanaume unaanzaje kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke wako ? Huyo mwanamke ni wanamna gani unayempiga halafu anakuchekea tu ? Still unamwambia unampenda khaaaaaa!! mwanaume kama wewe hufai hata kwa kulumangia !
 
Hivi mwanaume unaanzaje kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke wako ? Huyo mwanamke ni wanamna gani unayempiga halafu anakuchekea tu ? Still unamwambia unampenda khaaaaaa!! mwanaume kama wewe hufai hata kwa kulumangia !
[emoji23] [emoji23] Hujui raha ya kupigwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…