Wanawake wanaongoza kwa usaliti?

Huwezi sema kundi flani linacheat kuliko kundi faini, huo unawaona wanapocheat?
 
Tangu mama mchungaji niliyekuwa namwamini na kumheshimu sana kaishusha ch**pi yake yy mwenyewe tena kwa ushawishi wake imani imepungua sana
 
Usijarbu kuoa mtumishi utalia yaani ni wachafu mnoo mimi nili fanya kazi kwenye halmashauri moja dah ni hatari sana hasa kwa kipewa mialiko ya semina hapo ndipo wanapo liwa,
 
Usijarbu kuoa mtumishi utalia yaani ni wachafu mnoo mimi nili fanya kazi kwenye halmashauri moja dah ni hatari sana hasa kwa kipewa mialiko ya semina hapo ndipo wanapo liwa,
Umeona, kwa kweli kama Hao wewe sikia kwa jirani kwanza hawana heshima kwa wenzi wao ndo Hao utasikia wanakuambia Mwanaume mashine Pesa hata mimi Ninazo yaani wanagongana kama Kumbi kumbi.
 
Kaka ukifuatilia maisha ya kuku hutamla ...wanawake watatupandisha chumvi mwilini bure...kinachotakiwa usijali nani aliogelea mbele yako nani anaogelea na ninani atakayeogelea bada na kabla ya wewe .play safe ndugu yangu
 
Tangu mama mchungaji niliyekuwa namwamini na kumheshimu sana kaishusha ch**pi yake yy mwenyewe tena kwa ushawishi wake imani imepungua sana
Tupe hicho kisa cha Kumvua Ch...... Please Mama Mchungaji.
 
Tupe hicho kisa cha Kumvua Ch...... Please Mama Mchungaji.
Acha umbea wewe....
Si alimuombea mshikaji akaona mapepo hayatoki mpaka wapate utamu utamu wa mama mchungaji. [emoji1] [emoji23] [emoji108]
 
Mwanamke haongozi kwa usaliti mna wasingizia tu, kila kitu [emoji17] not fear.... Kila kitu kosa kwenye mahusiano ni mwanamke kila kosa kwenye ndoa ni mwanamke...

This is too much real gentleman haishi hivyo. [emoji4] [emoji108]
 
Tangu mama mchungaji niliyekuwa namwamini na kumheshimu sana kaishusha ch**pi yake yy mwenyewe tena kwa ushawishi wake imani imepungua sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ilikuwaje mpaka ikatokea mkuu?
 
Tangu mama mchungaji niliyekuwa namwamini na kumheshimu sana kaishusha ch**pi yake yy mwenyewe tena kwa ushawishi wake imani imepungua sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee ulimlaa mama mchungajii
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…