Pole broNi kweli yamenikuta, katika tafiti zangu asilimia kubwa ya wanawake nilio tembea nao ni katika makundi hayo.
[emoji23][emoji23] sakayo bana..si na haohao wanaume wachache..mwanaume mmoja kapanga na wake za watu kama 10 hiviHivi huwa wanacheat na nani!! Mie najua wanaume ni wachache kuliko wanaume!!
Jamani enyi wanaume tumechoka na malalamiko yenu hakikisheni mnafunga ndoa na mwanamke anayekupenda, jambo la pili muheshimu na mtimizie mahitaji yake.
Hizi tafiti zisizo rasmi za kila kunapokucha zinachosha sana..... Khhaaa!!!!Nimekuwa kwenye wakati mgum sana wa kufanya tafiti zangu binafsi kwa muda mrefu sasa kuhusu kujua ni watu wa aina zipi wanaongoza kwa usaliti katika ndoa zao kati ya Mwanamke (mama wa nyumba) na mwanamke (Mwajiliwa ) binafsi japo utafiti wangu kwako unaweza ukawa hauna mashiko, Lkn Wanawake walio ajiliwa wanaongoza kwa usaliti japo Sio kwamba na wale Mama wa nyumbani kwamba hawachepuki nao wanachepuka lkn si kwa kiwango kama Hawa Wafanyakazi na Wafanyabiashara wanao Fata Mizigo nje na maeneo yao kwa maana ya kusafiri Bila kuwasahau wale ambao Wamezaa na wapenzi wao wa Zamani na kuolewa na watu wengine kwa tafiti zangu Hao nao penzi huwa halifi kwa wazazi wenzao Labda sijui kuwe na shida gani kumnyima papuchi mwenzi wake.
Basi wao ndo wanacheat!![emoji23][emoji23] sakayo bana..si na haohao wanaume wachache..mwanaume mmoja kapanga na wake za watu kama 10 hivi
Sio wote aisee siwe wengine tunatosheka vizuri...cha msingi wote mpendane.Huwa hamtosheki nyinyi
Tena tafiti zenyewe mtu anahadithia mkasa wake mwenyewe na kuwaambia ni utafitiHizi tafiti zisizo rasmi za kila kunapokucha zinachosha sana..... Khhaaa!!!!