Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Mambo gan?!Mh Sinza kuna mambo kaka.
Mh Sinza kuna mambo kaka.
Aisee kweli Sinza pana mamboJamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....
Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.
Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.
Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.
Mambo ya Sinza.
Wamefanyaje??Daah mwanamke wa Sinza aisee
Kweli ee?!Sinza Kuna vibaka wa kike
Bro sikujui, usijipendekeze🚶🚶🚶Unadanganya Mkuu, Kwenye Gari tulikupa sababu. Tulikwambia Madada wa Sinza Wengi wanapenda starehe tu na uhuni.
Wala hatukuguna unapotosha
Hahahahaha jamani nyie nyie, 😂😂😂😂Jamaa yangu anaishi Msakuzi alipata demu sinza,amepanga chumba masta. Siku moja anaenda kwa demu wake akapokelewa vizuri tu akakaribishwa ndani. Baada ya muda kidogo akaingia jamaa ...anafahamiana na dem ni swahiba wake. Mara kidogo, dem akamuomba jamaa watoke nje kidogo yule jamaa anataka kuoga ....
Wakatoka. Mshkaji kapigwa butwaa haelewi elewi. Baada ya dakika kadhaa jamaa kamaliza kuoga akapiga simu warudi tu ndani. Wakaingia. Wakakuta jamaa keshaoga amevaa anamalizia kujipodoa kageukia dressing table. Jamaa akakaa kitandani na dem wake....wanaendeleza stori yao.
Jamaa kashika wanja na chanuo mkono mwingine kamgeukia jamaa anamuomba radhi kwa usumbufu "shem samahani kwa usumbufu..." jamaa kabaki katoa macho, anashangaa mwanaume kashika wanja. Kamaliza kupaka, kaondoka.
Badae demu kamuomba radhi mshkaji na anamwambia isimsumbue yule sio bwana wake....kwanza ni "shoga" tu. Alikua anaishi na Bwana wake Mwananyamala wamekorofisha; anaishi kwa muda pale na demu wa mshikaji.
Mambo ya Sinza.
Sasa kama ameleta shoga inaletaje sababu kuwa mademu WA sinza hawafai??Aisee kweli Sinza pana mambo
Mashoga wanahofiwa sana kuwa ni makuwadi wazuri Wa Mademu za watu.. Na siku bahati mbaya akidindisha si anamla Shogaye ambaye ni Demu ako?Sasa kama ameleta shoga inaletaje sababu kuwa mademu WA sinza hawafai??
Kweli ee?!Mashoga wanahofiwa sana kuwa ni makuwadi wazuri Wa Mademu za watu.. Na siku bahati mbaya akidindisha si anamla Shogaye ambaye ni Demu ako?
Demu akikuambia anaishi Tabata au Sinza hata kutongoza inabidi ujiulize mara mbili sana.Jana tukiwa kwenye foleni zetu za Dar kurudi nyumbani, mmoja ya mshikaji wangu akatuambia amepata mpenzi. Tukamfurahia na nini, tukamwuliza anaishi wapi, akasema anaishi SINZA🙄
Wenzangu 4 kwenye gari wakaanza kuwaka na kuguna "Dah! Mwanamke wa Sinza achana naye, hafai. Pale huna mwanamke" na malalamiko mengi
Mimi nikawauliza "kwani mdada akiishi sinza kuna shida gani?" Kila MTU akaanza kucheka kasoro mwenye mpenzi🚶
Jamani wadau huku embu mnijuze, kwani mwanamke akiishi Sinza kuna shida gani? Wewe ukimpata mwanamke anaeishi Sinza utamkataa?
Tabata tena?!🙄Demu akikuambia anaishi Tabata au Sinza hata kutongoza inabidi ujiulize mara mbili sana.
Tabata ni danguro jipya baada ya sinza.Tabata tena?![emoji849]
Kwanini