leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,714 May 20, 2014 #101 Kuwa mkweli hata wewe ulipojua kuendesha gari kwa mara ya kwanza uliweuka vipi?kuwa mkweli lakini baada ya kujua bei ya petrol utatumia gari la kazini. Maisha kuvumiliana!
Kuwa mkweli hata wewe ulipojua kuendesha gari kwa mara ya kwanza uliweuka vipi?kuwa mkweli lakini baada ya kujua bei ya petrol utatumia gari la kazini. Maisha kuvumiliana!
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 May 21, 2014 #102 Heaven on Earth said: Koh koh koh Click to expand... hlf siku hizi mnakaa yenu ya kimakusudi hivi mnapoendesha........
Heaven on Earth said: Koh koh koh Click to expand... hlf siku hizi mnakaa yenu ya kimakusudi hivi mnapoendesha........
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 May 21, 2014 #103 asakuta same said: hlf siku hizi mnakaa yenu ya kimakusudi hivi mnapoendesha........ Click to expand... hahahaa si tunajua huwa mnatukodolea vijicho
asakuta same said: hlf siku hizi mnakaa yenu ya kimakusudi hivi mnapoendesha........ Click to expand... hahahaa si tunajua huwa mnatukodolea vijicho