ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,858
- 60,838
Ni kweli never take a woman serious....Hawa viumbe haijawahi kutokea wakaeleweka.kwa hiyo usiwazingatie sana ishi nao Kama vile hawapo.kwa mfano akikwambia atakuja saa 11.we endelea kufanya Mambo yako usimzingatie akija sawa asipokuja sawa.wana maajabu sana anaweza akaja mpaka gheto kwa nje kabla hajaingia ndani akapigiwa simu na mtu wake mwingine akakupotezea ww aliyekufuata akamfuata huyo mwingine.kwa sababu wanaishi kwa misingi ya Bibi zao eva na Delilah.. Eva alidanganywa na nyoka na Delilah alimdanganya samson.kibaya zaidi ukimwambia ukweli hataki anataka umdanganye.
Yamenikuta kweli kiongoziPole sana kiongoz kwa yaliyokusibu naona umeandika kwa hisia kali...
Wajinga hawa jinsi unavyozidi kubembeleza ndivyo anavyozid kuleta maringo, dawa yao ni kumtaka kama humtak vile, never show her too mch needy
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wako hivi
1.hawajawahi kuwa na upendo na mwanamme
2,ukiona anakwambia kakuzimia,jua kuna kitu amekiona mbeleni atakuja faidika nacho.
3,akiona hakipo kama vile kazi umefukuzwa,biashara imefilisika jua hamuwezi kuendelea na mahusiano.
4.ishi nao kwa kuviziana tu.usijiachie kwa saaana hata kama mkeo,na yeye kamwe hawezi kujimaliza mbele yako hata siku moja.
5,usiwekeze kwao.
Ni kweli hata mzee majuto katika filam ya nakwenda kwa mwanangu alisema "MWANAUME HUTAKIWI KUTABIRIKA"Sifa kuu ya kuish na demu ww kuwa unpredictable tu, hakusumbui
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kwel 100% wanawake wote wapo kimaslai1,2,3 sio kweli
Na huo ndiyo ukweli wenyeweWanawake wako hivi
1.hawajawahi kuwa na upendo na mwanamme
2,ukiona anakwambia kakuzimia,jua kuna kitu amekiona mbeleni atakuja faidika nacho.
3,akiona hakipo kama vile kazi umefukuzwa,biashara imefilisika jua hamuwezi kuendelea na mahusiano.
4.ishi nao kwa kuviziana tu.usijiachie kwa saaana hata kama mkeo,na yeye kamwe hawezi kujimaliza mbele yako hata siku moja.
5,usiwekeze kwao.
Jiandae na wewe kuangamizwa dakika yoyote kuanzia sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mko mnapeana silaha za maangamizi [emoji28]
Eti kwann basi huwa mnatufanyia usaliti au kutukataa na kutuachia maumivu?Mko mnapeana silaha za maangamizi 😅
Kumbe unamjua?Mpumbavu yule unampa kila kitu anachohitaji ila mwisho cku anakuja kukusumbua na vijisababu kumbe anachepuka na mtu ambaye unaweza kumchora ata kwa mkono wa kushoto yaaani hana jipya ana kucheat na mtu local sana
Sent using Jamii Forums mobile app