Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,203
Kwamba wanakuwa wameshaharibika tokea zamani ila wanafichaHuwa wanakuso
Mea gap kwanza . Yaa. Hawaharibikii kwako ni kitambo
Badilisha location za kuwaokotea hao wanawake! Unaokota mwanamke facebook halafu unasema wife material? π
Twitter ndio jalalani kabisa kuliko alikotokea kabudi ππππ€£π€£π€£π€£π€£ ukimuokota Twitter je?
Twitter ndio jalalani kabisa kuliko alikotokea kabudi πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Badilisha location za kuwaokotea hao wanawake! Unaokota mwanamke facebook halafu unasema wife material? [emoji23]
Sawa sawa mkuuBadilisha location za kuwaokotea hao wanawake! Unaokota mwanamke facebook halafu unasema wife material? [emoji23]
Inshallah nimekuelewamazingira unayokutana nao hao wapenz wako yatakua si sahihi,, ukitaka kuoa ama nia ya kuoa ukiwa nayo, mwombe Mungu mke mwema atakupa!!
Shukrani apo nimekuelewaNavyojua wasukuma wengi huwa washamba washamba... Kwa hiyo unavyoanza nao utakuta unaingia na gia kubwa mno kujifanya much know na wao wanakusoma then wanaanza kujiachia.....
Halafu utakua unapenda wale mademu maharage ya mbeya unakutana nao sehemu za ajabu ajabu.....
Ushawahi tongoza demu kumbe usiku anajiuza? Basi wewe inaelekea ndio style zako....
Sorry mwana Yanga mwenzangu kama lugha yangu haina STAHA....
Nishasema mkuu...sina tabia za starehe..si pombe wala nini sijawahi kunusaStarehe hizo mnakuwa wote
Sasa kitu ambacho kinapelekea hali ya hawa watu kwa upande wako ni niniNishasema mkuu...sina tabia za starehe..si pombe wala nini sijawahi kunusa
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe...
Tukienda kwenye mada husika..ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano anazidi kubadilika hapa wengi wao wanakuwa ni wapenda starehe...[emoji119]