Mathematical
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 120
- 43
Kwanini umemuuliza ivyoMkeo ni wa Mbeya Mkuu?
Ila huyohuyo akiwa na mchepuko kule yupo active sana tena akiitwa anakimbia mbio...Hao ndiyo Wanawake Cha ndani kibaya ila Cha nje KitamuuHivi kwanini wanawake ukishawaoa huwa hawajitumi tena...hata mechi kupewa unapewa kwa machale sana mtu unakata mpaka wiki 3 mwanamke hajakupa papuchi....seriouly mbona wanazingua sana ..acha tupige nje tu.
Jamani tunaumizana mbavu hivi.Wiki Tatu duuh mkuu umeua bendi , swala la kugegedana ni muhimu sana kuliko chakula mjadili ili uweze kurudishiwa thamani ya makinikia
Wababe kinomaMkeo ni wa Mbeya Mkuu?
Ulishakaa na kuongea nae haya na akakupa sababu zake?Hivi kwanini wanawake ukishawaoa huwa hawajitumi tena...hata mechi kupewa unapewa kwa machale sana mtu unakata mpaka wiki 3 mwanamke hajakupa papuchi....seriouly mbona wanazingua sana ..acha tupige nje tu.
Mkeo ni wa Mbeya Mkuu?
Yalaaaaaaa huyu c wakuzaa nae
We jamaa lazima mchawi umejuaje wa mbeya dahMkeo ni wa Mbeya Mkuu?
We una akili sana ngoja nifanye mchakato.Mtafutatie mwenzake wa kumchangamsha.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Anasema amechoka sana kila siku...ananiambia ka unataka chapa ila sitakuwa na ushirikiano sanaUlishakaa na kuongea nae haya na akakupa sababu zake?