Habari ya mjini ni kwamba wanawake waliondani ya ndoa tena watumishi walioajiriwa!!! wana staili mpya sasa hivi, Mwanamke anakuwa anamiliki simu ambayo mume wake haijui, Na hiyo simu anakuwa anahiacha kwenye Droo ya meza ya ofisi, akifika ofisini anaanza kuchat na mahawala zake! Anafanya upuuzi anaojua!! Akirudi nyumbani cmu anaiacha ofisini. Jamani wanaume tufanyaje? kumaliza hili tatizo.
^^
Kwani wanaume hawana? Anachart na nani?
Bora huyo Kuna wengine dharau tupu laini moja,simu moja,kazi kuchart usiku mzima... Mguse uone (dont touch me disease) yuko bize
Anatafuta notisi za unyumba.
^^
Huyo mwanamke anakosa nini kwako hadi ahangaike huko nje??
Habari ya mjini ni kwamba wanawake waliondani ya ndoa tena watumishi walioajiriwa!!! wana staili mpya sasa hivi, Mwanamke anakuwa anamiliki simu ambayo mume wake haijui, Na hiyo simu anakuwa anahiacha kwenye Droo ya meza ya ofisi, akifika ofisini anaanza kuchat na mahawala zake! Anafanya upuuzi anaojua!! Akirudi nyumbani cmu anaiacha ofisini. Jamani wanaume tufanyaje? kumaliza hili tatizo.
mbona hii tokea kitambo tu mkuu,.
Wewe ndiyo umejua leo??