Ananifkrisha saana ,akianzisha bifu nikisala analia may b tukipata mtoto ataona aibu kulia na mm nitapumua kidgo m'bembelezo umekuwa maisha yangu sasa.Duuuu mkuuu kaa nae hvo hvo tu, yan hyo kitu hawezi badilika.
Mm pia nimewai kuona kitu kama icho, yani ukimkosoa ktu tu, analalama na kulia juu.
na siku akibadilika jua unachapiwa.
A za hesabu co kama za biology nguvu +umakin znazotumika co sawa that nmefananisha na energy ninayo tumia mm ,Hahahahaha! Nani kakwambia hesabu ni complicated? Mbona wenzako wanapata A? Tatizo ni akili yako sio hesabu,,,,Hakuna mwanamke complicated mbele ya mwanaume mwenye akili
Naish nae vzr lkn pamoja na hayo bado tu hakosi visa akisikia anaongea na msichana hata mboga itaungua ili mradi tu afatilie jinsi unavyojibu alaf yy a guess amesemaje ,ukitua cm tu unalo ,wanawake mnazidi .Mda mwingine wanaume mnaboa...
Saa zingne inabidi kugomba tu akiona nmekasirka anajijua kaniudhi saana, mm co mwepesi kumgombeza ,tunaeleweshana nae ,sex mara nyingne kazi znaniweka busy sana nisipoangaika hatuli inabid niweke nguvu kazini ,hanivumilie lkn yy noo .Mtu mzima mwenzio huyo sio wa kumgombeza , ongea naye muelekezane na huku unasema usipos.x naye muda mrefu ananuna anaacha na kupika. Wee kwa nini unamuacha muda huo mrefu bila nanihii? unafikiri amekuja kwako kupika!? Kwao alikuwa hapiki kwani?
Wapo ambao ikipita siku hujampigia simu au kumsalimia utajuta mno. Kila huyo na karaha zake.Nko kwenye uhusiano na msichana for 2years now bt nnaona vtuko per day vingi vingne nacheka vingne na waza iv huyu ana nini?Ukimgombeza tu analia balaa baada ya ananuna hapiki et nnaumwa,muda ukipta sana hatujasex anaanzisha ugomvi naenda nyumban mara nyingne hata hakna cha maana,nkisex nae anapga kazi kesho yake hatari hadi namwambia my pumzkikapo basi ,kawia kurudi uone eeeh sura iyo ina turn from brown to brick red ,napata wakat mgumu saana ku handle matukio yake nabembeleza saana ,hadi na chekwa akianzisha bifu hadi ndugu zangu ana include anajiisi saana ,kumpenda ndo nishampenda ivo ,lkn shda ninayo ,situation kama iz mna handle aje ?mnipe mbinu tuta break up soon and i don't wanna loose her
.
Huyu cm hana habari nayo ,akiiweka kabatin asubuhi jion unaikuta hapo hapo na missed call zangu bado zna display.Wapo ambao ikipita siku hujampigia simu au kumsalimia utajuta mno. Kila huyo na karaha zake.
Kwann unasema hivyoUnazifahamu vizuri KDS na KKS wewe???
Nimeuliza tuuKwann unasema hivyo
naenda kwa akili lkn visa kibao alaf vya kitoto.Wanawake wapo complicated already.. Ukiwacomplicate na ww utapata shida santa.. Wqchukulie poa weka misingi yako.. Ujitahidi usinate na biti zao