Wanawake (Wajawazito) vaeni Mavazi ya Stara

Pilot_In_Command

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
2,507
Reaction score
3,459
Nimeona/ Kushuhudia hawa Wakina Mama watarajiwa wakivaa mavazi ya Nusu uchi sana, yaani unakuta kisket kifupi, chepesi kinapepea huku Tumbo/ Kitambi kikitangulia mbele mithili ya pua ya Mr Bean.

Ushauri wangu ni kwamba: Mjitahidi kuvaa nguo zinazoendana na hali mliyonayo, mkishashusha (INJINI) basi mnaweza endelea na Vimini/ Visket vifupi.

Hili nimeliona sana sana Jijini DAR. Angalizo: Kuna kesi za wamama wajawazito kubakwa Mitaani au Hospitalini hii inachangia na Mavazi pia.

Nawasilisha.
 
Weka picha hata ya kuchora!
 
Mimba za sasa ivi ni fasheni
 
Weka picha hata ya kuchora!
1671255478723.jpeg
 
Back
Top Bottom