Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji13] [emoji13] [emoji13] sakayo bana umeacha kupanda juu ya miti au mpaka oct. Mosi?Huo ufupi unaanzia inch ngapi maana waweza kuta na mie nimo, ila siku hizi hamna watu wafupi high hills zinatusaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka oct. Mosi, sa hii napanda kwenye high hills[emoji13] [emoji13] [emoji13] sakayo bana umeacha kupanda juu ya miti au mpaka oct. Mosi?
Hii ni kweliWengi wao wana vyura!!!.
Kuna mmoja ni best yangu yaani hana jema machoni pake akisifia kitu lazima akikosoe picha hata kama wengine mmekikubaliWana gubu
Haahahah noma saaanaKuna mmoja ni best yangu yaani hana jema machoni pake akisifia kitu lazima akikosoe picha hata kama wengine mmekikubali
Mmmm yawezekanaNakili kuwa huu uchunguzi wangu ni wa kweli juu ya wanawake wafupi kuwa ni waongo,wanapenda kujinadi kwa vitu vya kijonga,wanapenda pesa hivi kwa wale wenye type hii ya wanawake naomba muthibitishe au muongeze sifa zao.
Teh tehee.... zinashabihiana sana.Kama tafiti za twawezwa! Ha haaa...