The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 813
Hapo kweli... nina demu ninamtongoza nampenda ila akaniambia anajamaa wake, nikajidai sielewi somo nikamkazia sana akaanza kuniita my, mara luv.. lakini kumuacha jamaa ake hataki na mimi akiona ninataka ku give up niwaache na jamaa yake anakua mnyonge kuonesha hajakubaliana na uamuzi wangu huo, kwahiyo hapo na mimi ninajipa moyo labda atamuacha jamaa yake, hapo na mimi nafanyaje wadau!??
I hate you......

Kwa utaratibu huu mi unanipoteza
nakushauri achana nae kk kwani siku zote msichana mwenye nia ya kuwa na ww utamuona tu na hawezi fanya hivo chamsingi piga chini na ujifanye kama haijawahi tokea
Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema 'nataka kuondoka lakini nina haraka' as if mmekutana bahati mbaya.
Basi unapozidi kumbembeleza, we unaongea naye ye yuko busy anachat kwa text na watu wengine na ninapojitahdi kutaka kugundua anachat na nani, ndivyo simu yake anaiweka mbali na upeo wa macho yangu.
Mara nyingi mimi ndo wa kwanza kumshtua kene simu kila siku, nisipofanya hivo siku inapita na ninapomuulza kama ananipenda anajibu ananipenda. Naomba mnisaidie huyu binti ananipenda kweli? Au yupo kimaslah zaidi?
Ushauri kwa mabinti kama mwanaume huwezi kumpwenda au haujakidhi vigezo vyako, mtose siku ileile ya kwanza sio kukubal ninafikiria.
Toka jana nimemkaushia!No sms,no calling! Naye pia kakausha vivyo vivyo,duh let me look for another fish in the sea,kama mdau hapo juu alivonishauri!
Nakuelewa sana mkuu. Mwanamke wa siku hizi unamjengea mazingira tu. Pichu anavua mwenyewe hata bila ya kuambiwaHivi mwanamke unamtongozaje hadi anakukubalia?
Katika kukubalia huko anasemaje?
Anakwambia 'ndiyo'?