USHAURI KWA MABINTI-KAMA MWANAUME HUWEZI KUMPENDA AU HAJAKIDHI VIGEZO VYAKO, MTOSE SIKU ILEILE YA KWANZA ,SIO KUKUBALI KINAFKINAFKI! fyuuuuu
Kwani mwanamke akikupa ndo anakupenda?vuta subira kijana mambo mazuri hayataki haraka tatizo lenu nyie tukishawapa papuchi dharau zinaanza na muda mwingne mnakimbia kabisa ,siku zote mwanaume unayempenda usimpe papuchi mpk ndoa akivumilia huyo ndo Mr.right uliyekuwa unamsubiri
Inategenea lengo lako ni nini. Kama ni kuoa hakika utajutia uamuzi wako. Kama ni kupita njia chapa ikalale.Hapo kweli... nina demu ninamtongoza nampenda ila akaniambia anajamaa wake, nikajidai sielewi somo nikamkazia sana akaanza kuniita my, mara luv.. lakini kumuacha jamaa ake hataki na mimi akiona ninataka ku give up niwaache na jamaa yake anakua mnyonge kuonesha hajakubaliana na uamuzi wangu huo, kwahiyo hapo na mimi ninajipa moyo labda atamuacha jamaa yake, hapo na mimi nafanyaje wadau!??
'*****, mr right my shoe. Wahuni washasugua had una sugu na gaga hafu mie ndio ningoje mbuzi gunian. Kwa mwendo huo mtasubiri sana kuolewa na mtaishia ku attend harusi za wanaojielewa
unakuta mwanamke unamtumia vocha kila siku ya buku lakini hata siku moja hajawai kupiga simu hivi hapo kuna mwanamke kweli???
Wanojielewa ndo wakoje, wanaotoa papuchi mapema?
'*****, mr right my shoe. Wahuni washasugua had una sugu na gaga hafu mie ndio ningoje mbuzi gunian. Kwa mwendo huo mtasubiri sana kuolewa na mtaishia ku attend harusi za wanaojielewa
nani afanye ujinga huo yaani nipasuke hela halafu mwisho wa siku unitelekeze bila hata ya kukujua unafikiri hatuwajui usaliti wenu kwenye mapenzi