Wanawake wa MILLENIAL bana...

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ila tabia ya kuomba ela siku ya pili tuu uwa inakera wanaume wengiii ndio maana na sisi tunaombaga papuchi fasta mm huwa nanyooshaga maelezo siku hiyo hiyoo nikikuelewa kama mbwai mbwai
 
Mkuu, unafanisha thamani ya papuchi na pesa ? Vitu tofauti kabisa ,na hiyo exchange ya pesa na papuchi ni biashara sasa siyo love, toeni pesa hizo, sipendi husband bahili mimi[emoji1]

Usifananishe pesa na vitu vya hovyo tafadhali, hata ndege wa mwitu na wadudu kwa jinsi zao wanazo hizo papuchi na wanagegedama bila malipo.... mume bahili ni yule anayekunyima gegedo.
 
akizingua na wewe unamzingua,papuch hataki toa ila hela anataka sikuya kwanza tu ,maza fanta kabisa hawa mademu wa sasa
 
Sasa mimi na wewe nani aliyekurupuka? Au ulijisahau kama unaandika ndani ya JF?
Naona unazidi kukurupuka, Mimi nilikua namjibu member aliyesema tukitaka pesa na sisi tuwe tunatoa papuchi, ndyo nikamwambia hiyo exchange ya pesa kwa papuchi itakua siyo love sasa ni biashara ,nakushangaa from no where unadandia comment Kwa mbele,angalia kijana siku utadandia na visivyodandika ikawa balaa[emoji35] [emoji35]
 
ila tabia ya kuomba ela siku ya pili tuu uwa inakera wanaume wengiii ndio maana na sisi tunaombaga papuchi fasta mm huwa nanyooshaga maelezo siku hiyo hiyoo nikikuelewa kama mbwai mbwai
Lazima kila mechi ushindi..

#YNWA
 
Iyo ni Gen X kabisa sio ata Millenial
 
Nadhani post yako #39 uliiandika wakati akili yako ipo likizo,ulichokiandika ni sawa na nilichokiandika kwenye post yangu #32 ila umeongeza maneno aidha bila mpangilio bora au kwa kutokujua,soma hata post yako #6 inathibitisha nilichokuuliza,siku nyingine ongeza umakini na sio tu kucomment ili kumfurahisha mtu ili eti na wewe uonekane ni mjanja! Isome tena hiyo post yako #39 uone ulivyoyapanga maneno.
 
Sawa Mwalimu Wa mwandiko chukua Tuzo hiyo,na fatilia posts zangu zote usahihishe, ila niliyekua namquote alielewa nilichokua namaanisha kutokana na mtiriko uliokuwepo, ila it's ok brain zetu zinatofautiana kupambanua mambo, wengine ni nzitoo , na hiyo no 6 umemaanisha ulichokifikiria wewe coz akili yako inawaza ujinga tu pole, Vipi post's #60 hujaiona? Ebu pitia uikurupukie pia [emoji35] .
 
Siku nyingine jaribu kuficha ukilaza wako unapojadili mambo humu JF.
 
Sawa kilaza mkuu, I hope utaacha ukurupukaji.
Kaa pembeni,uwezo wako wa kujenga hoja na kuichambua ni mdogo sana ndio maana hata unachokiandika wewe mwenyewe hukielewi,
acha kua na akili za kushikiwa,kucomment ili kumfurahisha mtu,
Fanya kazi halali ili upate riziki halali kuliko kujitangaza kuuza Papuchi hapa JF.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,umetisha mshairi Icebreaker mwenye uwezo Mkubwa wa kuulizia bei za papuchii dah,humu jf hatujiuzi baba polee, nenda Kimboka hutokosa kabisa Wa kukupunguzia uzito falasi wee[emoji35]

I hate you Icebreaker[emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,umetisha mshairi Icebreaker mwenye uwezo Mkubwa wa kuulizia bei za papuchii dah,humu jf hatujiuzi baba polee, nenda Kimboka hutokosa kabisa Wa kukupunguzia uzito falasi wee[emoji35]

I hate you Icebreaker[emoji3]
Ficha ukilaza wako kwa kukaa kimya,kaa kimya ili usijulikane kua wewe ni kichwa cha Panzi,umejitangaza kuuza Papuchi ila watu wamekupotezea tu,nenda kaoge maji ya baharini kutoa huo mkosi,nilikuuliza bei kupima uwezo wako wa uelewa tu,wazazi wako wana hasara kubwa sana huko walipo,halafu kujichekesha chekesha hovyo hua sio dalili njema.
 
Hahaa, can't stop from laughing you popoma ,eti unanipima yaani wewe unipime uwezo Mimi aisee,nami nikakufurahisha na jibu la ukurupukaji, na naona ulivyooga Maji ya bahari yamekuletea matokeo chanya biashara inaenda poa mpaka unatushauri na wengine tutumie ,safii ila sina shida nayo coz sifanyi biashara mkuu endelea kutumia mwenyewe tu.

Nasubiri verse Nyingine mshairii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…