Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Wachawi noma mwana...Mkuu ulilala na demu halafu umeshtuka from usingizini umejikuta peke ako au[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]?
Mbadala ya papuchi ni SABABU/MAFUTA YA MGANDO, Sa sijui mbadala wa KUFULIA ni nini?Ahsante kwa povu/ushauri/dawa chungu hatotaomba tena pesa, nanyie msiombe... Ngoma droo[emoji1]
Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)[emoji1] [emoji1] ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaaMbadala ya papuchi ni SABABU/MAFUTA YA MGANDO, Sa sijui mbadala wa KUFULIA ni nini?
Mi nadhani TUPEANE tu KIROHO SAFI..
JPM alisemaga "Tanzania inayoiongoza Mimi ni nchi ya WIN WIN SITUATION""
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]waambie mama maana wamezidiMkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)[emoji1] [emoji1] ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Hakuna cha kupima wala,unaomba unaomba kwel una shida zako..mwanamke ambae kakupenda na anajua anachotafta hawez omba hela fasta hvo,..na sisi ambao huwa hatuvung kutoa hzo hela ndogo ndogo,tunawalamba kwelkwel had tunawakimbiaMkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)[emoji1] [emoji1] ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ,wananibishia dear waache wakikimbiwa wasishangae[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]waambie mama maana wamezidi
Aiseee, I'm speechless mkuu "mnawalamba hadi mnawakimbia"[emoji30] [emoji30]Hakuna cha kupima wala,unaomba unaomba kwel una shida zako..mwanamke ambae kakupenda na anajua anachotafta hawez omba hela fasta hvo,..na sisi ambao huwa hatuvung kutoa hzo hela ndogo ndogo,tunawalamba kwelkwel had tunawakimbia
Tukitoa ela mnatuona ma bwege bora tutoe ela kwa usumbufu.Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)[emoji1] [emoji1] ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Na sisi huwa tunaomba papuchi ili kupima kama nyie ni wife material... Msipo tupa tutawaona hamfai!! Toeni papuchi ili muwe wife materialMkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)[emoji1] [emoji1] ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Baharia...Na sisi huwa tunaomba papuchi ili kupima kama nyie ni wife material... Msipo tupa tutawaona hamfai!! Toeni papuchi ili muwe wife material
Husband material wote hua hawatoagi hela ndo maana ukiwa na manzi halafu ukamletea stori za kutaka kumuoa kujitambulisha kwaio etc huyo manzi utakula bure hadi umkinai...Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)[emoji1] [emoji1] ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Ahsante kwa povu/ushauri/dawa chungu hatotaomba tena pesa, nanyie msiombe... Ngoma droo[emoji1]