Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Nitumie wallah nakutunukueeh, sasa huyo mbona wa kawaida tu, fungua pm nikutumie picha zangu
[emoji3][emoji3][emoji3] sawa, ila nawe ukidhi vigezo vyanguNitumie wallah nakutunuku
Njop pm basi,,ili ninyanyue mikono juuu[emoji3][emoji3][emoji3] sawa, ila nawe ukidhi vigezo vyangu
Nasubiria nitajiwe wewe kua nae mmoja wapoKwa mimi mchunga n'gombe ndiyo sina langu daah acha nihamie badoo.[emoji125] [emoji125] [emoji125]
AhahahahahSisi tunaokaa na mabosi wa tanzania huku Dodoma kila saa tunapishana nao kama njugu na unajichagulia tu sema huwa wanajishaua sana na kitandani sifuri
Angalia vyema mwili wake,sura so haba aiseeWanawake bhana mna kazi sana, ni kipi kilichokuvutia hasa
Nasubiria nitajiwe wewe kua nae mmoja wapo
Eti eeehhh!!Mi sijawahi kuonana na mwanaume wala mwanamke wa humu,nahisi huu uzi haunihusu
Fungua pm, mambo huwa inaanzia huko!Mi sijawahi kuonana na mwanaume wala mwanamke wa humu,nahisi huu uzi haunihusu
EeeEti eeehhh!!
Acha kukaririFungua pm, mambo huwa inaanzia huko!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi wananiita moran