Wanawake wa Chuoni

Mwaka wa 3 dumu hakuna na wanakuwa wanaishi kitaa so muhimu
 
Wanang'ang'ania nyama choma na mbaya zaid wakiona bum bac wanajua kwamba hela ni nyimb kumbe Hanna kitu baaada ya mda mfup wanaaanza Kukomnika na mikate ya bakhresa na chapat
 
Basi saaawa, kila mtu anajichaguliaga maisha yake atakayoishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…