Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

Status
Not open for further replies.
We ndo jipu unaanzaje kumruhusu mwanamke achart wakati anaandaa chakula, kuweni makini na smartfon ni chanzo cha kuondoa amani ya ndoa. Mi kwangu nikishaingia tu watu smartfon kule tunaanza mijadala ya maisha eitha kama kuna umuhimu wa kugugo apo mtu atachukua sim eitha kuprove habari tuloona kwenye tv ama kusikia redion
 
Mavijana ya siku hizi na nyie mkoje? Yaani JF ndo umepafanya MAHAKAMA? Umeshindwa kumwelesha akaelewa? Basi hiyo siyo ndoa ni ndoana!
 
Mavijana ya siku hizi na nyie mkoje? Yaani JF ndo umepafanya MAHAKAMA? Umeshindwa kumwelesha akaelewa? Basi hiyo siyo ndoa ni ndoana!

Are you blind asshole ,soma uelewe kilichoandikwa please
 
Mke wangu hawezi kucheza na simu wakati wa kula hata tukiwa tumelala, nilishamweka sawa na anazingatia hilo, isitoshe hata mimi mwenyewe siwezi fanya hayo
 
Aisee weka simple rule "hakuna kushika sim wakati wa kula" ila wewe uwe mfano wa kuigwa kwanza
 
Hata wanaume wapo sio wanawake peke yao.pia mm inanikera sana
 
Jamani mnashindwa kuwaambia? Mwanaume akisema mke wangu sipendi hiyo tabia yako unavyofanya..huwa tunaelewa. Sauti ya baba kwenye nyumba ina nguvu sana na si rahisi kukaidi.
Midomo itavutwa na kubinywa balaa! !
 
Blaza ww Magu.....!
 
Pole sana , ila huyo mkeo mbna kama namjua? Pole sana kama ndio yeye. Maana hata huku officn ni shida. Yaani hafanyi kazi, muda wote mkono kwenye simu.
 
Pole.sasa kama kitu kidogo hivyo anavuta mdomo sipati picha.Maana mna safari ndefu katika hayo maisha yenu ya ndoa.kuna tatizo mahali.kaeni muwekane sawa
 
Muda si mrefu tutaanza kuwaajiri wafanyakazi wakutulisha chakula kwa maana hii kasi ya ukuaji wa technolojia itatushinda wengi
 
Muda si mrefu tutaanza kuwaajiri wafanyakazi wakutulisha chakula kwa maana hii kasi ya ukuaji wa technolojia itatushinda wengi
Hata kuchamba hawachambi wengine wapo busy na Simu ha ha
 
Chukua hiyo Simu ipasue pasue. Halafu mnunulie tochi
Kupasua simu utakuwa umeleta janga lingine huo ushaur wako siyo
Na Kama anajishughulisha kununua nyingine n rahsi hilo bado sio solution ya tatizo cha msingi ni yeye kumueleza mkewe nini hapendi na nn anapenda na kwa wakat Gan
 
Kama haelewi inabidi achukue hatua
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…