Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke mwenza.
Kinachonishangaza mimi ni kuwa inakuwaje kuwaje tena basi wanatokea wanawake hao hao kuwa na affair na waume za watu tena wakijua kabisa kama huyu mtu ana mke? na wengine mpaka wanafika kuwekwa kama nyumba ndogo? Kwa nini wakatae uke wenza lakini wako radhi kuibia ibia waume za watu? Kwa nini wanakataa kushare mume katika ndoa na kujua siku gani ni faragha yako, lakini wako na hiyari mikutano ya siri siri na ya masaa ya ajabu ajabu? Hivi wanawake wanapokubali kuwa na affair nini lengo lao hasa? kuvunja unyumba au kumkomesha mke wa anaefanya nae affair?
Ama kweli wanawake ni vigumu kuwaelewa!!!!!
sijaona cha ajabu hapo kiasi cha kuita mwanamke ni kiumbe wa ajabu...........
nilichoona ni nature ya kawaida ya binadamu wote ya umiliki, wanapenda kuhodhi mke/mume awe wake pekeyake, asiibiwe, asi-share.... ila yeye kuiba vya mwenzie anaona ni adventure,
ni ubinafsi wa kawaida alionao binadamu, lakini kuiba mume/mke wa mtu si jambo jema basi kila mmoja kwa nafasi yake kama anatenda hayo aache
Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke mwenza.
Kinachonishangaza mimi ni kuwa inakuwaje kuwaje tena basi wanatokea wanawake hao hao kuwa na affair na waume za watu tena wakijua kabisa kama huyu mtu ana mke? na wengine mpaka wanafika kuwekwa kama nyumba ndogo? Kwa nini wakatae uke wenza lakini wako radhi kuibia ibia waume za watu? Kwa nini wanakataa kushare mume katika ndoa na kujua siku gani ni faragha yako, lakini wako na hiyari mikutano ya siri siri na ya masaa ya ajabu ajabu? Hivi wanawake wanapokubali kuwa na affair nini lengo lao hasa? kuvunja unyumba au kumkomesha mke wa anaefanya nae affair?
Ama kweli wanawake ni vigumu kuwaelewa!!!!!
kwani kuna mwanamme ambaye yuko radhi kuwa mme mwenza? mbona sasa tunatembea na wake za watu?Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke mwenza.
Kinachonishangaza mimi ni kuwa inakuwaje kuwaje tena basi wanatokea wanawake hao hao kuwa na affair na waume za watu tena wakijua kabisa kama huyu mtu ana mke? na wengine mpaka wanafika kuwekwa kama nyumba ndogo? Kwa nini wakatae uke wenza lakini wako radhi kuibia ibia waume za watu? Kwa nini wanakataa kushare mume katika ndoa na kujua siku gani ni faragha yako, lakini wako na hiyari mikutano ya siri siri na ya masaa ya ajabu ajabu? Hivi wanawake wanapokubali kuwa na affair nini lengo lao hasa? kuvunja unyumba au kumkomesha mke wa anaefanya nae affair?
Ama kweli wanawake ni vigumu kuwaelewa!!!!!
Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke mwenza.
Kinachonishangaza mimi ni kuwa inakuwaje kuwaje tena basi wanatokea wanawake hao hao kuwa na affair na waume za watu tena wakijua kabisa kama huyu mtu ana mke? na wengine mpaka wanafika kuwekwa kama nyumba ndogo? Kwa nini wakatae uke wenza lakini wako radhi kuibia ibia waume za watu? Kwa nini wanakataa kushare mume katika ndoa na kujua siku gani ni faragha yako, lakini wako na hiyari mikutano ya siri siri na ya masaa ya ajabu ajabu? Hivi wanawake wanapokubali kuwa na affair nini lengo lao hasa? kuvunja unyumba au kumkomesha mke wa anaefanya nae affair?
Ama kweli wanawake ni vigumu kuwaelewa!!!!!
Hapo penye red najaribu kufikiria beyond the box, mahusiano ya kimapenzi kwa ujumla wake ni complex sana. Ktk hili hata sisi wanaume mara nyingi huwa hatueleweki pia. Nina mifano ya wanaume wengi ambao wameoa na ni wakali sana na wanawachunga sana wake zao lakini na wao huko maofisini na kwenye starehe nyingine ni wa kwanza kuiba iba mali za watu.
Matazamo wangu: Hakuna mtu; awe mwanamke au mwanaume anayependa kuibiwa mpenziwe, na ni ukweli usiopingika kuwa huwa inauma sana kuibiwa na si mchezo wa kukubaliwa au kufurahiwa. Cha msingi kila mtu kwa wakati wake ajaribu kuwa mwaminifu na kutokupenda kuchukua au kudonoa wapenzi wa watu. Naamini wengi tukichukua tahadhari hii, madhara mengi ya fumanizi na kutendewa mabaya baada ya kufumaniwa haitakuwepo tena.
Kama dini inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, haina shida go ahead lakini ni vyema kufuata procedures zinazokubalika ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima.
Waswahili wakwambia sinzia tamu kuliko lala, back to topic mwanamke anayekubali ukewenza nyumba ndogo ni MASLAHI kwenda mbele upendo comes second, thats the hard fact.