Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Kwanza kaeni mkijua,Hakuna mwanaume aloleta mvua ,wala mwenye uwezo wa kuleta mvua ,Vitendo mnavyotufanyia kipindi hiki cha mvua kaaeni mkijua mungu anawaona ..!
Mvua hizi zimetuathiri sana kisaikolojia hata kimwili wanaume wa dar na hata wale wa mikoani pia ,
Tafadhalini ;
Msikae mbali na simu zenu ,hasa katika kipindi hiki ,
Tukiwapigia muwe mnapokea,
Na sms muwe mnajibu kwa haraka ,
Tukiwaita basi mje ,
Gharama za usafiri ,bajaji pikipiki kutufata tulipo siwe na wasiwasi tutalipia ,
Yale maugomvi yetu ya zamani wakati huu sio mahali pake,
Mnahitaji muonyeshe utu wenu zaidi,
Betri ziko low! zinahitaji chajii...
Na huu ndo muda muafaka wa kuchaji betrii