Wanawake tumieni marashi yasiyokwaza na kukerehesha..

Hahahahaaaa nimejikuta naikumbuka perfume ya kuruthum lol siipendi hata bure mtu akijipulizia nahic moyo wangu unafanya kazi tofauti...

Ila daaah mnatusimanga sana jamanii,haipiti cku jf hamjatuchambua wanawake Aaah......ila sisi ndio tunafanya ukamilifu wa dunia tusemeni tuu ila na mazuri myalete na kuyasema co tuu ya kunukanuka.
 
Back
Top Bottom