Wanawake ndio
mama zetu,wake zetu, dada, shangazi n.k. Kuna baadhi ambao huvaa nywele
za bandia na kushindwa kuzitunza mnakuwa kero. Nywele zinanuka manake
hazioshwi, zinatoka jasho linakaukia huko, mara kadhaa hukuta anakuna na
harufu mbayaa husikika. Si wote lakini wengi wenu, na hamjijui au watu
huogopa kuwafahamisha. Balaa huwa pale umekaa nae kwenye basi halafu
hataki kufungua dirisha na hajijui kama anatoa harufu mbaaaayaa
Hii ni kwa uchache tu,wengine huweza kukutana nao kwenye mgahawa,foleni
ya kwa daktari,benki na sehemu zenye mikusanyiko ya watu. mwingine
akiingia kwenye lift au ofisini kwa mtu baada ya kutoka huacha shombo
fulani pia akikaa ktk kochi. Tunaomba tafaadhaal mjirekebishe.
Tunatanguliza shukrani za dhati, tunategemea mazingira yawe safi
asanteni.