kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Nov 17, 2013 #21 mtindo m'baya huu, nimepoteza watoto 5 ka mtindo huo ....
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Nov 17, 2013 #22 Nje wanaishi kwa furaha ndani wanaishi kwa hatia ^^
B Barasu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,146 Reaction score 335 Nov 17, 2013 #23 Ukifuatilia kwa ukaribu, utagundua kwamba wale watakaotoa ujauzito huo "moja kwa moja ugomvi na mwenzake umetokana na huo ujauzito". Kwa-ugomvi wa kawaida tu "siyo rahisi kutoa ujauzito".
Ukifuatilia kwa ukaribu, utagundua kwamba wale watakaotoa ujauzito huo "moja kwa moja ugomvi na mwenzake umetokana na huo ujauzito". Kwa-ugomvi wa kawaida tu "siyo rahisi kutoa ujauzito".