Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,285 Reaction score 39,490 Jul 27, 2020 Thread starter #21 ledada said: Ambao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi? Click to expand... Kwamba unatoa
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,579 Reaction score 55,632 Jul 27, 2020 #22 ledada said: Ambao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi? Click to expand... Pande zile
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,458 Reaction score 67,411 Jul 27, 2020 #23 Champagnee said: Kwamba unatoa Click to expand... Sitoi na sipewi🤣🤣🤣🤣🤣
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,458 Reaction score 67,411 Jul 27, 2020 #24 jakitoo said: Pande zile Click to expand... Dora ooo kam basi
Miss Renee Senior Member Joined Jul 12, 2020 Posts 176 Reaction score 303 Jul 27, 2020 #25 Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1
Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,285 Reaction score 39,490 Jul 27, 2020 Thread starter #26 ledada said: Sitoi na sipewi Click to expand... Hahaha pole
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,285 Reaction score 39,490 Jul 27, 2020 Thread starter #27 Miss Renee said: Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1 Click to expand... Hahahaah umeongea kwa hisia sana
Miss Renee said: Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1 Click to expand... Hahahaah umeongea kwa hisia sana
Miss Renee Senior Member Joined Jul 12, 2020 Posts 176 Reaction score 303 Jul 27, 2020 #28 Champagnee said: Hahahaah umeongea kwa hisia sana Click to expand...
Miss Renee Senior Member Joined Jul 12, 2020 Posts 176 Reaction score 303 Jul 27, 2020 #29 Behaviourist said: Wewe ukampa nini baada ya kupewa laki 1? Click to expand... Nilimpa asante
Miss Renee Senior Member Joined Jul 12, 2020 Posts 176 Reaction score 303 Jul 27, 2020 #30 Behaviourist said: Click to expand... Hahaa wapi tena
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,285 Reaction score 39,490 Jul 27, 2020 Thread starter #31 Miss Renee said: Nilimpa asante Click to expand... Au siri yako
Miss Renee Senior Member Joined Jul 12, 2020 Posts 176 Reaction score 303 Jul 27, 2020 #32 Champagnee said: Au siri yako Click to expand... Nilimpa asante kama asante
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Jul 27, 2020 #33 Pesa inapatikana kwa kufanya kazi
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,805 Jul 27, 2020 #34 Miss Renee said: Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1 Click to expand... Na wewe ulikuwa unatoa nini ukishapokea hiyo laki? Ni biashara gani ulikuwa unafanya?
Miss Renee said: Kwa kipindi hiki sijawah pewa pesa kabisa hata ya vocha ila zamani kidogo wakati niko shule ilikua laki 1 Click to expand... Na wewe ulikuwa unatoa nini ukishapokea hiyo laki? Ni biashara gani ulikuwa unafanya?
Miss Renee Senior Member Joined Jul 12, 2020 Posts 176 Reaction score 303 Jul 27, 2020 #35 Mikopo Chefuchefu said: Na wewe ulikuwa unatoa nini ukishapokea hiyo laki? Ni biashara gani ulikuwa unafanya? Click to expand... Sikua nafanya biashara yoyote. Alikua mpenzi wangu je kuna ubaya alipotoa pesa kunipatia?
Mikopo Chefuchefu said: Na wewe ulikuwa unatoa nini ukishapokea hiyo laki? Ni biashara gani ulikuwa unafanya? Click to expand... Sikua nafanya biashara yoyote. Alikua mpenzi wangu je kuna ubaya alipotoa pesa kunipatia?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 Jul 27, 2020 #36 Champagnee said: Funguka bhs Click to expand... Umenifokea halafu unataka nifunguke?🤣
Papaa007 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 1,105 Reaction score 1,750 Jul 27, 2020 #37 ledada said: Ambao hatujawahi kupewa tunakaa upande upi? Click to expand... Kaa kushoto kulia
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,805 Jul 27, 2020 #38 Miss Renee said: Sikua nafanya biashara yoyote. Alikua mpenzi wangu je kuna ubaya alipotoa pesa kunipatia? Click to expand... Hakuna ubaya!
Miss Renee said: Sikua nafanya biashara yoyote. Alikua mpenzi wangu je kuna ubaya alipotoa pesa kunipatia? Click to expand... Hakuna ubaya!
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,285 Reaction score 39,490 Jul 27, 2020 Thread starter #39 Joanah said: Umenifokea halafu unataka nifunguke? Click to expand... Usipanic dogo
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,856 Reaction score 89,755 Jul 27, 2020 #40 Champagnee said: Usipanic dogo Click to expand... Niombe msamaha wa kunifokea nifunguke 😆