Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Mmh??!?Kwa mchepuko
Hiyo ni gear tu yakuchepukia Hanna loloteKwamfano umegombana na mmeo, baadhi ya wanawake kwa hasira hutoka nyumbani usiku na kulala kusikojulikana , naombeni mnambie je Mara nyingi uzoefu unaonesha uwa wanaenda kulala wapi ??
Mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi toka kwake usiku akalale kusikojulilakana,ati kisa kagombana na mmewe
Hata apigwe mangumi hawezi kutoka atasubiri kukuche ndio afungashe
Mwanamke mwenye kihede mswede hata akielezwa kitu kwa ukali kidogo tu,utamwona ashafika mlango wa kutokea nje[emoji1321]