Wanawake nashindwa kuwaelewa

Hawajui kuna magonjwa yana ingia kwa kuto vaa pichu, hahahahaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dada kigoma joto vipiiii
Kama ni.kgoma usishangae kawaida sana kwao tena hata wake za watu mi nilishangaa mpaka nkazoea kitenge tu mtu anatrmbea bila kuvaa kufuli
 
Huyo mmoja uliyemwona ndio ikufanye 'useme wanawake bana' wanawake ni pamoja na mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…