Au siku vyama vya upinzani vikibuni mikakati inayowavutia wanawake pia badala ya wanaume tu.Siku ikitokea walimu wakuu wa shule za msingi wakajitambua na kusimamia sheria ya kutowalazimisha wanafunzi kwenda kuwapokea viongozi wa ccm na ktk mikutano yao, wanaume wakawathibiti wake zao wasiende kupiga vigeregere ktk hiyo mikutano ya ccm naamini viongozi wa cc m watahutubia miti na ndege warukao.
ina maana kama wanawake hawapigi kula hawashindi?Siku ikitokea walimu wakuu wa shule za msingi wakajitambua na kusimamia sheria ya kutowalazimisha wanafunzi kwenda kuwapokea viongozi wa ccm na ktk mikutano yao, wanaume wakawathibiti wake zao wasiende kupiga vigeregere ktk hiyo mikutano ya ccm naamini viongozi wa cc m watahutubia miti na ndege warukao.
Haiwezekani kwani ccm ina wanachama wengi sana huko vijijini hivyo hata bila ya wanafunzi na wanawake wanaweza kufanya mikutano yao bila shida