Wanawake na ushamba wa Online Dating

Dating app sio kwa ajili ya kuchat na marafiki asee...ungehitaji kuchat facebook ingekufaa
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Babe jamani..! Sio mimi kuna mtu aliniazima simu yangu jamani[emoji25]
 
Acha ushamba wewe dating app ndani kakuambia ni za marafiki wa kuchati. Ninyi ndio wale mnaenda bar mnaagiza maziwa fresh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23] sure mkuu..huyo dem mshamba sana..
Kajiona anahoja kumbe empty head..
Acha ushamba wewe dating app ndani kakuambia ni za marafiki wa kuchati. Ninyi ndio wale mnaenda bar mnaagiza maziwa fresh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…