Wanao nyonyesha siwezi walaumu sana,lakini siku hizi imekuwa nikawaida sana sisi akiba dada kuacha matiti wazi, kuna siku dada mmoja kavaa nguo nyonyo yota nje yaani ule weusi wachuchu unaonekana cha ajabu nikawa najisikia aibu mimi nikajishika kifuani kama najifunika, nikawa natamani kumuambia ajitengeneze lkn nikaogopa nisije jibiwa vibaya....muda si muda akadondosha simu ile ainame aokote,mama yangu maziwa yote yakachomokea nje, watu weweeee alafu ilikuwa mlimani city watu kibao kipindi hicho,dada kwa aibu akawa anajichekeshachekesha. Mambo mengine si ya kuiga kwakweli ni aibu, acha niwe mshamba napiga zangu blauzi mpaka shingoni.