Wanawake na matiti yao...

Me kudindisha kisa mtoto ananyonya hilo ni tatizo mtu kama huyo ni vizuri aonane na wataalamu
 
Ahsante sana Mkuu Sibonike huyu mtu anayeona kinyaa kuona maziwa ya mama anayenyonyesha lazima atakuwa na hitilafu ya namna moja au nyingine kichwani. Kuthamini matiti yao ni pamoja na kuwa tayari kuyatumia kuwapa maziwa watoto wao pale wanapohitaji kunyonya, na siyo thamani unayoifikiria wewe.

Nakubali utamaduni unabadilika tuna move forward na positive things vingine tunaacha. Breast feeding ni kitu muhimu. Perception ya kuangalia maziwa kwa mwafrika haiwezi kuwa sawa na jamii zingine hasa wakati wa kunyonyesha mtoto!
 
Last edited by a moderator:
 
Tatizo sio matamanio kwa hali ya kawaida kabisa mtt anapaswa kunyonyeshwa kokote lkn awe amefunikwa japo yeye na ziwa la mama inamkinga mambo mengi sana mtt hasa kwenye macho ya watu wengi hilo ni kwa mtt turudi kwa mama, utakuta bibie ziwa hilooo kama ndala iliyoisha lkn bado analitoa mbela za watu kha sifa nyingine za kijinga sana
 
No akiwa public sio sawa kufanya hivyo usidanganye watu basi wenzetu weupe wangekufa wooote mana wanathamini sana maziwa yao hasa wakati huo wa kunyonyesha huwezi kumkuta mzungu ziwa lipo nje huku mtt ananyonya never bana usipotoshe waafrica tukaendelea na huu ulimbukeni.
 
ukitamani nyonyo la mwanamke anayenyonyesha, hakika unaweza tamani k ya binti yako.
 
mi mwenyewe nkiona matiti ya mwanamke kma n mazuri af ikatokea nko nae karibu lazima nimjaribu..
 
Haaaa haaa haaa watu8 umenichekesha sana... yani Mama natoa ziwa we unamsaidia kulirudisha kwenye blazia....daahhhhhh! like
 
Last edited by a moderator:
 
mpaka chakula ya mtoto unaitolea udenda! utaua nja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…