mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Wengine wanakera kinoma mikucha mirefu ukimuuliza anakwambia ni urembo afu rangi alizopaka kama upinde wa mvua
Kwanza mm huwa cha kwanza kumkagua mwanamke ni kucha wallah kama anamakucha marefu hata chakula chake sili kabisa
Wengine wanakera kinoma mikucha mirefu ukimuuliza anakwambia ni urembo afu rangi alizopaka kama upinde wa mvua
kwani huko mnaingiza vidole, sijui kucha kutoa nini?????? Mmmmhh!!!!!! Kwel kansa nyingine tunajiletea wenyewe.
dada mmoja? akakueleza anauguza kidonda cha k?
au ni wewe mwenyewe?
dada mmoja? akakueleza anauguza kidonda cha k?
au ni wewe mwenyewe?
Siku hz wanaeka ht color za national flag
Duka La Madawa Kuna WOMEN SELF-CLEANER inatumika kusafishia kule kunako bila kujiingiza mikucha
Sehemu za sir hakutak sababu kabisa maradh mengi mm ht lotion ya kawaida ikigusa tu naogopa sana tunashinda tunasikia mengi mungu atusaidieMambo mengine kweli yapite tu acha niitwe mshamba, mwanamke how do you clean yourself 'down there' with super long nails?!
Hbr kwa ujumla nimeona nililete kwa wanawake ili tuongez umakin kucha ni urembo mzur lkn pia unamadhara hasa wkt wa kujisafisha sehem nyet endapo utaingiza kidole na kwa bahat mbaya ukaleta mchubuko ni htr sana hili limemtokea dada mmoja ambae anauguza kidonda ambacho kimesababishwa na kucha tuwe makin sehem za sir huwa ni lain sana
mpe pole zake sana kwa kuuguza hicho kidonda chake cha pili baada ya kile kidonda chake ndugu ( kisichopona ). hivi umeshajiuliza ni kwanini dada na mademu zetu siku hizi mbunye zao haziko mbali sana kwa kunuka kama dampo la pugu?
jibu ni hiyo mikucha yao mirefu kwani anakuwa anashindwa kufanya juma nyosso kwa elias maguri a.k.a kujitia ndole.