Toromeeeeeee
Member
- Nov 25, 2019
- 7
- 3
Kuna sababu nyingi zinazopelekea kutoka harufu mbaya ukeni kubwa ikiwa ni fangus ambayo hutokana na kutofanyia usafi vizuri uke pamoja na kubadilisha sana wanaume ambao huwezi kuhamisha bakteria hao wa fungus toka mwanamke mmoja hata mwingine
Wengine fungukeni visababishi vya harufu mbaya ya kasho pamoja na ukeni
Wengine fungukeni visababishi vya harufu mbaya ya kasho pamoja na ukeni