Naomba tupeane uzoefu wana-MMU hivi ni kwanini baadhi ya wanawake wakifanya makosa kwanini wanapenda sana kujijitea na kwa kuona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa hata kama wamefanya makosa?. Labda nitokea experience kidogo ya wanawake niliwahi kuwanao kimahusiano karibia wote nilikuwa nikiwaonya jambo la kwanza wanaoona kama vile wanatwishwa mizigo na kuonewa basi atajitetea weee hata kama ushahidi upo mezani. Embu tupeane uzoefu juu ya wenzetu hawa.
Povu ruksa
Ukiona mwanamke anakulalamikia kua unamuonea basi we tambua tu kua huyo hajakupenda.
Mwanamke akikupenda kwa dhati hua hahisi kuonewa wala kunyanyaswa kama hauamini waulize dada zetu wa kikurya.

mademu wa kikurya wanajua kupenda asee,hawa ni dada zangu ila mashine napo wanapenda sio mchezo,uzuri wao sio kama yale makabila mengine yakugawa gawa ovyo,sema ukioa pale anakugeuza sex machine.