ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,657
- 57,055
Calisah ni mdananda Fulani alikuwaga mbongo muvi enzi za kanumba mchafu chafu hivi ila now day baada kuanza u modo akaanza kuwa msafi msafi na kupiga pamba na kujichubua ,kutoga masikio ,kuweka kalikiti kichwani na kuvaa mlegezo 45° .Calisah ndo nani?
Ndo anapendwa na wadada?
Nimekutana na stori wadada wawili.mmoja anamwambia mwenzake kwamba watafute hela wapate magari na majumba Kisha wakanunue mbegu za calisah yule mwanamitindo Kisha wapandikize wapate watoto vishombi shombi.kwa kweli huku ndipo tulipofikia na tunakokwenda.na wakishazaa watawaonyesha mapenzi ya dhati hao watoto kiasi kwamba hata wakiwadanganya kuwa baba zao walishakufa maisha yaendelee.wanawake mnapoteza kizazi chetu kwa hii michakato mnaoifanya ya kubadilisha shape, kubadilisha rangi na Sasa kuzaa bila baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha kupendwa na wadada ,yeye mwenyewe alisema anauza mbegu kwa mwanamke yeyote anaetaka kuwa na mtoto mzuri .
yule mwanaume anaejichubua katika tasnia uanamitindo ambae tumeshamtoa katika kundi la wanaume rijar tumemuweka katika kundi la kina james deliciousCalisah ndo nani?
Duh!
Sijui huwa anaziuzaje hizo mbegu!!
The old fashioned way? Masturbation?
Amecheza movie gani na kanumba?Calisah ni mdananda Fulani alikuwaga mbongo muvi enzi za kanumba mchafu chafu hivi ila now day baada kuanza u modo akaanza kuwa msafi msafi na kupiga pamba na kujichubua ,kutoga masikio ,kuweka kalikiti kichwani na kuvaa mlegezo 45° .
Kwa kifupi ni Malaya wa kwa maana ya kwanza yupo kuwaridhisha wadada Fulani wenye stress zao mjini for pay .
Na ni kitombi hasa maana anawatembezea kweli kweli
Kubwa zaidi amekaa kwenye fantasy za masista duu na shugamami wengi mjini hapa .
Kaka huyu ndio mla vumbi pekee hapa bongo ambaya wanadhani ametokea pale lenox park au Virginia high land hotlanta
Bongo bahati mbaya #BBM
Sent using Jamii Forums mobile app