Wanawake mtuhurumie wanaume

Wanawake mtuhurumie wanaume

chumanil

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
121
Reaction score
73
Tuanze kwa kumshukuru m/mng kwa kutupatia pumzi cku hii ya leo.Wapo wenzetu,wanao pigania uhai wao maospitarini,wapo walio tanguria mbele za khaki.Rakini yote ni mipango yake mola wetu.Turudi mada kuu.

Nawaheshimu sana wanawake,rakini katika hili hapana.Mna jua nusu ya maisha yenu ni nitegemezi kuazia mavazi,kula,kulala?

Haitoshi tukiwaitaji kuwaoa basi shariti tunatoa chochote ilimradi usije bure kwangu.Hali hiyo aitoshi kutuheshimu na kutunyenyekea?Haswa wewe uliyeolewa unajua jukumu analolibeba mwanaume kuanzia ngazi ya familia mpaka kwa Mungu?

Ni vipi kuhusu maisha yako hujui kuwa mwanaume ndio muhimili mkuu ndani ya maisha yako ya kila siku iweje mgeuke miiba kutuchoma.Hata uwe kama nani hapa duniani,lakini unapaswa kutambua mwanaume ndio nguzo yako.Muache kutushika sharubu.

Mnajitahidi kweli kuishawishi dunia,ili muwe juu kutuzidi wanaume,lakini haitowezeka.Mungu ameshapanga hilo.Pia wanaume tusitumie mabavu kuishi nao. Mungu katupa uwezo mkubwa wa kuishi nao hawa watu.Kama unamfuga mnyama na akakuelewe iweje mwanamke kiumbe dhaifu akushinde?Ishi kwa akili.
 
Kwa ufupi me nawaheshmu sana wanawake. Na kama n suala la kulpa mahar nk hyo n mila na destr lkn co kwamba umemnunu kuna sehem wanaolpa maharvn wanawake. Ila hamna bnadam alye mkamlfu.
 
Back
Top Bottom