Wanawake, mtu anapokuthamini nawe mpe thamani

Mbona umechelewa sana kujua
Wengine ndo tunazaliwa ivyo mkuu ni watu wa kuangalia good side ya mtu tu hatuna time na kuhesabu mabaya sasa ndo baadhi ya watu wanatumia mwanya huo kutaka kutupanda kichwani ila kama binadamu na sisi tuna kikomo cha uvumilivu ndo kama hivi sasa waliwmengu wanatufanya tunakuwa monsters
 
Umepoteza mda kushauri ukuta mkuu. Weeeh jithamini, utathaminiwa...drama kwa wanawake muhimu sana....kama huna drama, atafuta ata ya kaole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…