Shemu usiende mbali, kongosho akinipiga uniamue, nitty z not around....naona umejitoa mhanga bi dada!
Hahaha!hayo ndio mapenzi ya kweli...huyo anaonekana analijua kosa lake!...bishanga anakula chabo...nimemshtukia..
Hahaha! Una akili sana wewe, hebu mleta mada toa huu uzi upesi kabla bishanga hajakuja, akilia hapa hakuna mtu wa kumbembeleza...
afu huyo mkaka mbona anapigwa lakini kakumbatia?..
SALOK hapa umeniacha stand, nisaidie tafadhali... Nimesahau walah tena!SL ukisikia inzi kufia kwenye kidonda si ......., malizia basi..!!
aaaaah KABBY nn tena...UP utaweza kumfanyia ivyo?
mkiwezeshwa mnaweza..duh nimeamini...
uporoto!...mh kweli shemeji umemtema braza tayari...
duh!.shemeji nipo ntakufariji wakati huu mgumu kwako!