Wanawake msiwe mnatuuliza hili swali ni gumu sana

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Jamani wanawake muwe na huruma japo kidogo sometimes huwa hatutaki kuongea uongo lakini mnatulazimisha!

Eti baby!umeshawahi kudate na wanawake wangapi?

Mzee mzima ukianza kujumlisha Mara kuzidisha utanikuta kigugumizi cha gafla kinakushika na macho yanakuwa mekundu!unaamua kumjibu tu kikauzu wewe ni wa pili Baby kumbe ni 2×12
 
Mbona wachache hivyo.
Kwenye kitabu changu cha kumbukumbu, kinaonyesha mpaka sasa nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake 68
 
hahahaha.....akiuliza wakati tayari nilishamgegeda na mwambia tuu ukweli kuwa wee wa 37. akitaka asepe zake. kashagegedwa
 
mi nasema wewe ni 4, wa kwanza primary, wa pili o level, wa tatu advance, wa nne chuo, na watano ndo wewe kipenz changu cha kufa na kuzikana,,

kumbe kuna zile za ghafla bin Vuuuuu kibwena,,

sorry ni watano kumbe, hapo juu nimekosea kidogo,,

hata kuandika nimekosea hapo juu! ndo mmjue swali gumu
 
hahahhaahhaaa ila hilo jibu la wawili tu bby nila wanawake hili hata awe kabila gani atajibu kua wewe niwapili nahisi kuna gazeti walisoma maana ni nchi nzima mimi nimetafuna mademu 56 nakila niliyetafuna mimi nilikua wa pili
Ni 2×30 mkuu!ndio ile kanuni ya kujiongeza inahusika
 
Back
Top Bottom