fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,617
- 9,161
Hapo cha ajabu kipi?Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Tatizo liko kwako,huyo mwanamke hana cha ajabu alichofanyakwani ubongo wako wa uelewa....? nb kunitafuta tena
Ndio zipigwe!😂 acha kijana aoneshe upande mwingine mbali na huu tunao uona! we hupendi kuwa entertained mara moja moja humu😅Nimecheeeeka, wewe ni chizi ujue, unataka kuona upande wa pili ukifunuliwa🤣🤣🤣🤣🙌🏻
Hapana je tena? Hujambo?
Kwema mkuuMuache asome
Hahaha!!Ndiyo kwanzaaa kaanza shule😁
Haha!!Kitoto kikupe kesi gani?Kumbe kitoto kabisa, kinataka kunipa kesi sio?🤔
Heshima yako chiefKwema mkuu
Hakujui huyu mkuuHahaha!!
Haha!!Kitoto kikupe kesi gani?
Hili nalo umeliandikia Uzi?Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Yooh!!kumbe na wewe ni wa JAMUKAYA,MINZE MANONU.Ole na tuja ghashi! Tombhinebhe🤣
Salama kabisa chiefHeshima yako chief
Haha!!Itakuwa ila kama mwenyeji wangu vileHakujui huyu mkuu
Kwema kabisa chiefSalama kabisa chief
Habari za siku mkuu
Iyheee! Lekagi gete🙌🏾Yooh!!kumbe na wewe ni wa JAMUKAYA,MINZE MANONU.
Basi kama mwenyeji, imeisha hiyoHaha!!Itakuwa ila kama mwenyeji wangu vile
Ng'wagokoIyheee! Lekagi gete🙌🏾
Eminza.. olemhola?Ng'wagoko
Vichwa vya mwendawazimu hao.. Achana nao hao, anza kunywa pombe... Uone uzuri wa mabar made.. Wale ni zaidi ya wanawake.Alinichamba na kunidharalisha mix matusi na kuniambia nisimzoee nifute namba zake, sikumjibu chochote, zimepita wiki tatu ananicheki kaniambia mbona niko busy sana simtafuti
Nalemhola sanaEminza.. olemhola?