Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
ila kwenye daladala mara nyingi inakuwa si kuomba namba namba hata ile salamu atakujibu kwa shida sana kama unamlazimisha
Unajua tatizo wanaume na sisi tumekuwa cheap saaana siku hizi. Kama demu humjui piga kimywa hata kama kakuvutia kiasi gani. Ikitokea tatizo msaidie kama lipo ndani ya uwezo wako. Ikitokea mkakutana tena yeye ndio ataomba mawasiliano yako. Hii inaleta heshima na kuondoa dharau toka kwa hawa viumbe ambao wengi wao wanaishi kwa nguvu za kiungo kilichopo katikati ya mapaja yao.
Suala la namba lenyewe hapana, siwezi kutoa namba tu kama sikufahamu vizuri, mtu unaweza kuwa unaongea nae kila siku na mna heshimiana sana lakini bado huwezi juu anawaza nini juu yako, kwa kweli suala la namba hapana lazima uwe makini. hilo suala la kusalimiana na mtu mwenyewe tu, mi ukinisalimia nakujibu na stori tunatwanga - ila kuniomba namba ya simu ni kosa kubwa.

Na hiyo ndio sababu inayopelekea wanawake wa siku hizi kuchelewa kuolewa maana wao huhisi kila mtu ni muhuni, sasa we utajuaje kama huyu ni mwema au mbaya bila ya kumpa nafasi na uone mwelekeo wake??
Unajua tatizo wanaume na sisi tumekuwa cheap saaana siku hizi. Kama demu humjui piga kimywa hata kama kakuvutia kiasi gani. Ikitokea tatizo msaidie kama lipo ndani ya uwezo wako. Ikitokea mkakutana tena yeye ndio ataomba mawasiliano yako. Hii inaleta heshima na kuondoa dharau toka kwa hawa viumbe ambao wengi wao wanaishi kwa nguvu za kiungo kilichopo katikati ya mapaja yao.
Sasa utafahamiana vipi na strnger ambaye anahitaji kuwa na mawasiliano nawe na ikiwa njia pekee ya urahisi ni simu ???
Kitu cha muhimu ni akili kichwani na si kutoa namba hovyo
haya sasa mimi naomba namba yako rubii,Wee kwenye daladala unataka nikupe namba ya kazi gani? huo msaada nimetangazia daladala nina matatizo??....nia nzuri nia gani na mtu humjui hakujui???
waulize hao uliokutana nao wakaonesha hiyo tabia humu jf hawamo wa hivyo huku full kupeana namba