Yani utakuta unamfukuzia mwanamke mpaka unachoka ,anakuja kukukubalia teyari ushakata nae tamaa kabisa, alafu siku zinaenda anakujakuambia tafuta hela at the sametime anakuambia uchelewe kukojoa mapema yani mapicha picha kibao ..
Hela na kukojoa mapema havikai pamoja dada zangu.