Wanawake mnataka nini!!??

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
9,016
16,150
Kitamaduni.. Niimekutambua na. Kukupenda tangu tukiwa form 3 ,japo nimekuona kwa Mara ya kwanza ukija kuchukua cha kula cha jioni na Mimi nikiwa kiranja wa chakula .. Umetoka mjini ..Nami pia... Nikapenda maisha yako... Nilikutongoza tukiwa form3 ..ukakataaa ukasema unataka kuwa MTAWA... Wa Anglican High Church ambao wanaendana na sisi Catholic.... Mamamaaaa nimetimiza ahadi nimekuoa .... Na umenizalia Mtoto... SHIDA IKAANZA HAPA... Hataki tena Mtoto anasema Huyxe CD fr NB xd fr fu anatosha.... Yeye mtumishi wa imma mshahara daraja F hajapanda tangu aingie huyu baba huyuuuuu.....
 
Back
Top Bottom