Wanawake mnaboa!

Tatizo la hawa wavulana wanaenda viwanja vya machangu na kwa vile hawana uzoefu nao kila siku kulalama! Malaya awe mzungu mwarabu Mmarekani au mmatumbi wana hako kaharufu hata uweke jiki hakatoki kanatokana na mchanganyiko wa shahawa kutoka kwa watu mbali mbali
 
Huwa siamini kama ati kuna mtu mzima ambaye hawezi nawa mpaka atoe harufu!!!

Wengine huwa ni magonjwa na badala ya kuona kila mwanamke anuka, ongea na mpenzio mueleze tuu!!! Akichukia poa ila itamsaidia!!!

Kama unahisi ni uchafu hapo mlipo kuko na bafu, nendeni bafuni mwelekeze tu anawe ni mpenzio huyo!!!
 
Binafsi sijawahi kukutana na mwanamke ananuka k..

Ila nahisi wengi ni ugojwa, na haya magonjwa yako sana kwa wanawake na yanatokana na kutokufanya usafi vizuri sehemu hiyo ya siri.

All in all usafi kwa mwanamke una matter sana.
 
Wala hamna haja ya sabuni.... Sabuni hasa zenye marashi sio nzuri....

Ni maji yatosha, na kuwa mtulivu wakati wa kunawa.... I mean uwe na muda!!!
Muda kama masaa mangapi?πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Sasa shangazi,ulombwaga umemwambia kua anuka au ndo waja leta upupu huku tujue nawe mpigaji alafu umemtembeza demu wawatu Kaja hata kumpa maji aoge atoe jasho ukamla hivyo hivyo hujui hata tunda ukilila bila kuliosha wala bacteria
 
Aunt kawakumbusha Kuosha hizo tamu
 
Wanawake wengine/baadhi,sijui wanakuwa wamerogwa au wanashindana Kwa kunuka k?wanaboa Kwa kweli!?k inanuka mithili ya panya aliyeoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…