Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 37,013 Reaction score 73,645 Aug 7, 2017 #21 MBITIYAZA said: kwan hana ndugu? khaa mtutue jaman!... Click to expand... Ahahaaahaaahaaaaa
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,086 Aug 7, 2017 #22 Cajojo said: Ahahaaahaaahaaaaa Click to expand... shoo maswali ya kipolisi huwa sipendi kweli kweli!km yy kidume si angemnunulia mkewe!kudhalilika huko vipi?
Cajojo said: Ahahaaahaaahaaaaa Click to expand... shoo maswali ya kipolisi huwa sipendi kweli kweli!km yy kidume si angemnunulia mkewe!kudhalilika huko vipi?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 37,013 Reaction score 73,645 Aug 8, 2017 #23 MBITIYAZA said: shoo maswali ya kipolisi huwa sipendi kweli kweli!km yy kidume si angemnunulia mkewe!kudhalilika huko vipi? Click to expand... Kweli mambo mengine ni kutafuta tuu umaarufu
MBITIYAZA said: shoo maswali ya kipolisi huwa sipendi kweli kweli!km yy kidume si angemnunulia mkewe!kudhalilika huko vipi? Click to expand... Kweli mambo mengine ni kutafuta tuu umaarufu
mgangawaukoo JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 2,183 Reaction score 2,394 Aug 8, 2017 #24 Siyo kwamba hana hela ya kununua simu itakuwa kuna katatizo zaidi yasimu hizi ndoa acha tu, Ukitaka kujua mziki wake ingia ucheze hiyo namba aliyokupa itakuwa hata mume wake haijui kama bado ipo hewani.
Siyo kwamba hana hela ya kununua simu itakuwa kuna katatizo zaidi yasimu hizi ndoa acha tu, Ukitaka kujua mziki wake ingia ucheze hiyo namba aliyokupa itakuwa hata mume wake haijui kama bado ipo hewani.