Wanawake kwa nini munatutoza mlichopewa bure?!.

Hata kama kutoa ni moyo vingine haviepukiki kulipia,siyo wao ila inasababishwa na gravitational force
 
Mi mwanamke akinichuna ndo najisikia utamu na uzuri wake....hata ninapokuwa nae i feel depth feeling nae....
 
Usitamani Mali ya mwenzio mbona wewe unakitaka ambacho wenzio wamepewa bure.
 
aisee kazi kweli kweli,, ngoja niwacheki tu mnavyo comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…